Ujumbe ulioamsha team kiba 04 June 2015 ni wa Jokate kwa anayeaminika kuwa mpenzi wake mpya Ali Kiba uliosema ‘
All The Best Chèri’ ikiwa ni ishara ya kumtakia siku njema kwenye siku yake anayofanya video nchini Afrika Kusini.
Ujumbe huu uliambatana na hii picha.
No comments:
Post a Comment