Pages

Thursday, June 18, 2015

WATU TISA WAUAWA KANISANI NCHINI MAREKANI

Polisi wakiwa eneo la tukio.
...Wakiweka uzio kwenye eneo hilo lilipotokea shambulio.
Mmoja wa waumini wa kanisa Methodist akiwa na simanzi.
WATU tisa wameuawa jana usiku katika shambulio lililotokea kwenye Kanisa la Methodist eneo la Charleston nchini Marekani. Polisi wanawasaka watuhumiwa wa shambulio hilo lililotokea kwenye Jimbo la Carolina Kusini.

No comments:

Post a Comment