Mwanamuziki maarufu wa Nigeria, Wizkid.
Lagos Nigeria
WANAMUZIKI maarufu wa Nigeria, Wizkid na Yemi Alade,
walishindwa kunyakua tuzo za Watumbuizaji Bora za Kimataifa baada ya
mwanamuziki wa Ghana, Livingstone Etse Satekla a.k.a Stonebwoy kuwapiga
kikumbo.
Yemi Alade.
Washindani wengine katika kundi hilo walikuwa ni Sarkodie (wa Ghana),
Fally Ipupa (Congo), The Sauti Sol na AKA wote a Afrika Kusini..
No comments:
Post a Comment