Manaja wa wasanii wa kundi la Yamoto Band na Mkubwa na Wanawe Said
Fella amefanikiwa kupata asilimia 87 ya kura za kumuwezesha agombanie
udiwani wa kata ya Kilungule. Said Fella alitufahamisha kwa maneno
haya>>
” Asante
MUNGU asante wadau asante tmk WANAUME family asante wcb asante mkubwa
na wanawe asante tip top connection asante wanachama wenzangu asante
wadau wetu asanteni kila mmoja wetu anae kubali harakati zangu jana ni
siku nyengine nimetengeneza history kwa kupigiwa kura nyingi na wana ccm
wenzangu kwenye kinyang’anyilo cha udiwani kata ya kilungule na shukulu
MUNGU nimepata asilimia 87 kwa kura zote asante MUNGU ”
No comments:
Post a Comment