Pages

Sunday, August 2, 2015

Shilole, nimeonewa,kwanini wasingeongea miezi miwili nyuma,nina watu 10 nyumbani kwangu

127_shilole3
Shilole amelalamikia uwamuzi wa BASATA kumfungia kufnya muziki na shughuli za kisanii kwa muda wa mwaka mmoja, Hii video Exclusive kutoka FahamuTv na Sammisago.com, Audio ya Sauti kutoka BASATA Inasikia pia.

No comments:

Post a Comment