Pages

Thursday, June 28, 2012

PORTUGAL OUT SPAIN TO THE FINAL WITH 4-2[penalty shootout]

Cristiano Ronaldo akipiga free kick ambayo haikuwa na madhara yoyote.

Fabregas IN Negredo OUT

Ronaldo akipiga kick kali

Wachezaji wa Portugal mara baada ya dakika 90.

Sergio akifunga penati yake

Bruno Alves akikosa Penati yake

Fabregas akishangilia mara baada ya kufunga penati ya ushindi.

Wa-Spain wakishangilia.

Wachezaji wa Portugal, wakiongozwa na Ronaldo wakiwa na huzuni mara baada ya kutolewa kwa mikwaju ya penati.

No comments:

Post a Comment