MSAADA
WA MATIBABU: Mkazi wa Kijiji cha Mnamba kata ya Nampa mkoa wa
Lindi,Rafael Mohamed (36)anayesumbuliwa na uvimbe wa pua tangu mwaka
1984 akisaidiwa na mtoto wake Shafi
Abdarah mwenye umri wa miaka 18.,kwende kutafuta mahitaji ya kilasiku
,mama huyoanaomba msaada wa matibabu kwani madaktari wa Hospitali ya
mkoa wa Lindi wameshindwa kumfanyia upasuaji.
No comments:
Post a Comment