Pages

Thursday, November 29, 2012

AMANDA POSHY HUMWAMBII KITU KWA MPENZI WAKE BWANA MISOSI.

Wanaonekana wapenzi wenye malengo ya baadae.Amanda msanii wa movie amekufa ameoza kwa Emmanuel Lushahu 'Bwana misosi' msanii wa Bongo Fleva na kwamba ana wivu kwake kama vile tayari wameoana.

Amanda amekuwa akimtaja mara kwa mara mwanaume huyo huku akionekana amempenda kuliko wanaume wote waliompitia.Ameweka penzi lake wazi na kutumia picha ya mpenzi wake kwa profile yake facebook
Picha hii ni kuonyesha kafa kaoza akiwa na mpenzi wake Bwana misosi wakiwa kimahaba .
                        Hapa chini ni baadhi ya comment za picha hii facebook.

No comments:

Post a Comment