Pages

Thursday, November 29, 2012

MAMIA WAPOTEZA FAHAMU,WASANII WAANGUA VILIO NI BAADA YA MWILI WA MAREHEMU KUWASILI NYUMBANI KWAO SIKU YA JANA.

Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea, Mzee Majuto akielezea machache kuhusu marehemu.
                                                 (Picha hii chanzo ni Global Publishers.info)
 Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele 
 Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono wakielekea kwenye mazishi mapema mchana huu,Muheza mkoani Tanga.
Angalia picha zaidi >>> read more hapa chini....
Hizi picha zimepatikana ktk mdandao wa Diamond www.thisisdiamond.com
Hawa ni wasanii waliokuwa wa karibu na Sharo Milionea
wakiangua kilio baada ya kuuona mwili wa Marehemu

Hili ni gari lililoleta Mwili wa Marehemu nyumbani hapo...
Mwili wa Marehemu ukiingizwa ndani.





Wastara ambaye ni Mke wa Sajuki akiwa katika hali ya uzuni....

Visent Kigosi (Ray) Baada ya kuwasili kutoka Hospitali ulipokuwa mwili wa Marehemu.
Hii ni sehemu maalumu iliyoteuliwa kukaa wasanii wa Filamu.
Nisha pembeni ni Florah Mvungi

Msanii wa Filamu Mainda

Hawa ni baadhi tu ya watu waliopoteza fahamu baada ya Mwili wa Marehemu
Sharo milionea kuwasilishwa nyumbani hapo.


 
Mbali ya kuwa bado ni mgonjwa lakini Sajuki
ameonesha kuwa msatari wa mbele sana msibani hapo,Yusuph Mlela pia aliudhulia
.

No comments:

Post a Comment