Pages

Wednesday, November 7, 2012

MWANAMUZIKI RAY C ANAHITAJI MSAADA WAKO MDAU.

Kutokana na kuwa na matatizo ya kuathirika na madawa ya kulevya  Ray c msanii wa bongo fleva anahitaji msaada wako ili kupata matibabu ya  kuondokana na tatizo hilo

kwa mujibu wa maelezo ya mama yake mzazi Ray c    dawa anazotakiwa kutumia ni gharama lakini pia gharama ya chakula kwa mgonjwa, wapenzi wamuziki na wadau mbalimbali wa mwanamuziki huyu  tunaweza kumsaidia mama huyu  kwa kumtumia kiasi chochote cha fedha kwa kutumia huduma ya tigo pesa 0655999700 

Habari hii kwa hisani Mwanamuziki Mkongwe MZEE Kitime lakini pia unaweza kuingia michuzijr.blogspot.com .
kiuno bila mfupa RAY C ukweli ni kwamba amekiri makosa ya kutumia madawa  ya kulevya na hivyo kwa sasa anahitaji msaada KUTOA NI MOYO 

No comments:

Post a Comment