Pages

Sunday, May 5, 2013

KWANINI NGOZI YAKO IFUBAE WAKATI AK CLASSIC COSMETICS WANA KILA KITU!!!

 MABINGWA WA  VIPODOZI VYA UKWELI WAMEKUJA NA MAMBO MAPYAZ KWA MWAKA HUU!! 

UKIAMUA KUFUBAA UZEMBE WAKO MWENYEWE TU,SASA  WAMEKUSHUSHIA VITU VYA UKWEE KWA AJILI YA KUNG'ARISHA NGOZI YAKO KUANZIA SABUNI,CLEANSER,VIBRATING CLEANSING MACHINE,TONER,CREAM,SUN-BLOCK LOTION ETC. VYOTE HIVI VITAKUACHIA MNG'ARO WA MAANA HUKU NGOZI 

IKIWEKWA KATIKA HALI YA NZURI NA YA KUVUTIAAA!!kwa picha za bidhaa zaidi watembeleee
   www.akclassic.blogspot.com
wapigie: 0753482909/0713468393
 MAMBO YA MADREPELLA WALE WENZANGU WASIOPENDA KUPAKA VITU USONI HII UNAWEKA DK 30 UNATOA..ITAWAFAA SANA!!

MAMBO YA MADREPELLA WALE WENZANGU WASIOPENDA KUPAKA VITU USONI HII UNAWEKA DK 30 UNATOA..ITAWAFAA SANA!!

WALE WAPENZI WA COCOA BUTTER BLACK & BEATUFUL INAWAHUSU SANA...MAMBO YAKE NADHANI SIITAJI KUONGEA SANA!!!
 INAITWA NEUTROGENA VIBRATING POWER CLEANSER HII HUFANYA KAZI MARA 10 ZAIDI YA ILE CLEANSING YA KAWAIDA..
 JAMANI NGOZI ZA MIILI YETU ILI ZIENDELEE KUNG'AA CHONDE CHONDE MATUMIZI YA SUN-BLOCK LAZIMA...@AK COSMETICS UTAZIPATA ZA KILA AINA!!

"WAKATI NETROGENA NI USO TUU HII INAFANYA CLEANSING KWA MWILI MZIMA USHINDWE WEWE TU!!
  HII NI SABUNI YA ULTRA GLOW; HII HUICHIA NGOZI YAKO MNG'AO WA AJABU
KITU ORIGINALL KUTOKA ARGENTINA (LIKAS) SABUNI HII IMESHINDA SUPERBRAND 2005/2006 KWA WENZETU!!USIPIME

No comments:

Post a Comment