Pages

Monday, January 28, 2013

TASWIRA MBALIMBALI KATIKA USIKU WA MASTAA WA FILAMU DAR LIVE


Mgeni rasmi katika Tamasha la Usiku wa Mastaa wa Filamu, Jerry Slaa, akisalimiana na baadhi ya mastaa baada ya kuwasili ndani ya ukumbi wa Dar Live.
Jack wa Chuz akiwasalimia mashabiki wake.
Snura Mushi akiwapa raha mashabiki.
Afande Sele akiwachizisha mashabiki.
Mgeni rasmi ambaye ni meya wa Ilala, Jerry Slaa (wa pili kushoto) akifuatilia matukio katika tamasha hilo. Wengine pichani ni Rose Ndauka (wa kwanza kulia), Rais wa Shirikisho la Filamu nchini, Simon Mwakifwamba (wa pili kulia) na Michael Sangu 'Mike' (wa kwanza kushoto).
Jerry Slaa (kulia) akimkabidhi Simon Mwakifwamba mchango kwa ajili ya mfuko wa wasanii.
(PICHA ZOTE : ERICK EVARIST NA MUSA MATEJA/GPL)

No comments:

Post a Comment