Pages

Friday, March 29, 2013

PICHA AMBAZO HUJAONA ZA TUZO YA MWANAMAKUKA

Unity of Women Friends katika picha ya pamoja!
Mwenyekiti wa UWF Bi Mariam Shamo.
Mc wa siku hiyo Babie Kabaye.
Mkurugenzi mtendaji wa clouds media Joseph Kusaga na Sheba Kusaga.
 Q Chief akitoa burudani
Ommy Dimpoz kazini.
Husna akiduarisha pale kati.
Mshindi wa kwanza Aziza Mbogolume akikabidhiwa mfano wa cheki ya pesa Tsh 6,000,000.Kukabidhi alikuwa mke wa makamu wa rais Aisha Bilal.
Mshindi wa pili Leila Mwambungu akipokea mfano wa cheki ya Tsh 3,000,000
Mshindi wa tatu alikuwa Theonestina Renatus alijipatia milioni 1,000,000.
PM wa clouds fm Sebastian Maganga akiwa ametupia vazi lilinakshiwa rangi za bendera ya Tanzania.Pembeni ni wa ubavu wake mama Nuru.
Balozi Kindamba wa prime time promotion  na wa ubavu wake.
Hizi ni sehemu ya picha katika zile za tuzo ya mwanamakuka 2013.

No comments:

Post a Comment