Airtel yatangaza mshindi wa million 50 wa promosheni ya Amka millionea.
Mwandishi
wa Clouds TV Austin Bayadi ( wakwanza kushoto) akibonyesha kitufe cha
komputa wakati wa droo kubwa ya mwisho ya kumtafuta mshindi wa shilingi
million 50 wa promosheni ya Amka millionea ambapo bwana Layakal Akbar
Thawer mkazi wa Dar es salaam aliibuka mshindi wa promotion hiyo.
Wakishuhudia ni meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando(aliyekaa
katikati) akifatiwa na mwakilishi wa bodi ya michezo ya Bahati Nasibu
Emmanuel Ndaki akifatiwa na Afisa masoko wa Airtel Khalila Mbowe Meneja
Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando(katikati) na Afisa masoko wa Airtel
Khalila Mbowe kwa pamoja wakionyesha droo ya kumtafuta mshindi wa
millioni 50 wa Amka millionea inavyotafuta mshindi wakati wa droo hiyo
iliyofanyika katika makao makuu ya Airtel Moroco na kushuhudiwa na
Waandishi wa habari, akishuhudia kulia ni mwakilishi wa bodi ya michezo
ya Bahati Nasibu Emmanuel Ndaki Meneja
Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando(aliyekaa katikati) akiongea na
wandishi wa habari (hapo pichani) wakati wa droo kubwa ya mwisho ya
kumtafuta mshindi wa shilingi million 50 wa promosheni ya Amka millionea
ambapo bwana Layakal Akbar Thawer mkazi wa Dar es salaam aliibuka
mshindi wa promosheni hiyo. Kushoto ni mshindi wa million 15 wa
promosheni ya Amka milionea bwana Juma Ibrahim Hiza mkazi wa Dar es
Saalam na kulia ni mshindi mwingine wa shilingi milioni 15 Bwana Adnan
Ayub Khan mfanyabiashara Simiyu.
No comments:
Post a Comment