CHRISTINA SHUSHO NI MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJIRI ANAYEVUTIA KUMSIKILIZA.
Huyu ni miongoni mwawasanii wa nyimbo za Injiri wanaofanya vizuri sana sana nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Kutokana na ubora wa ujumbe wake katika nyimbo zake, wokovu na kumpenda
Yesu Kristo - Christina Shusho anajikuta akiwa na mashabiki Afrika na
nje ya Afrika wanaokiri kupenda kazi zake mbali mbali.
"Wewe kama ni shabiki wa ukweli wa Msanii Christina Shusho, Je ni wimbo
gani unaoupenda au unaokubariki kati ya nyimbo zake zote alizokwisha
imba? Weka maoni yako hapo chini.
No comments:
Post a Comment