Pages

Monday, June 24, 2013

KUTOKA BIG BROTHER:TANZANIA YAENDELEA KUTAMBA,NANDO AONGOZA KWA KURA ZA KUBAKI


  Ndani ya jumba la BBA baada ya Nando mshiliki wa Tanzania aliyeingia
 kikaangaoni wiki iliyopita kapigiwa
 kura nyingi za kubaki mjengoni,nainavyoonekana
washiriki wanaoiwakilisha Tanzania wanawashabiki
 wengi toka nchi tofauti Afrika kwani kwa chati
 inayoonesha jinsi kura zilivyopigwa inaonesha Nando
 kapigiwa kura za kubaki kutoka nchi ya Tanzania,Uganda ,Nigeria kenya na
 Namibia..ikumbukwe mwakilishi mwingine toka Tanzania,Feza kessy nae alipigiwa
 kura nyingi za kubaki kutoka nchi tofauti
 tofauti zikiwemo Sierra leon na Ghana..kuendelea kubaki 
kwa watanzania hao kunazidi kutoa matumain ya huenda 
mwaka huu ukawa nin wetu..who knows??pengine 
historia ya Tanzania kufanya vizuri on BBA ikajirudia kikubwa
 tuendelee kutoa sapoti kwa wawakilishi wetu kwa kupiga kura mara
 tu waingiapo kikaangaoni..Mungu ibariki Tanzania..

No comments:

Post a Comment