Pages

Monday, June 24, 2013

MAELFU WAMIMINIKA KUMZIKA MAMA MZAZI WA BARNABA(BI MARIAMU ARUBETH) SIKU YA JANA.

''Salamu za pole na rambi rambi ziwafikie wafiwa wote but zaidi
 kwa msanii mwenzangu Barnaba Elias
kwa kupotelewa na mama yake mzazi siku ya Jumamosi ....
Pole sana ndugu sote ni wasafiri na duniani tupo kwenye
safari mbele yake nyuma yetu mwenyezi Mungu aipumzishe
 roho ya mama yetu Mariamu Arubeth mahala pema
peponi.AMINA''Nipo mbali kwa sasa,nipo comoro kweye tour
 lakini familia yangu
itajumuika nawe familia yenu kwa hali na mali
kwenye kipindi hiki
kigumu unachopitia kumpoteza mama yako mpenzi!!

Zifuatazo ni picha za Mazishi Ya Mama mzazi wa Barnaba kuanzia
nyumbani hadi makaburini....
Mama  yake DIAMOND bi Sandrah ambae alienda kumuwakilisha akiwasili maeneo ya kigogo
msiba ulipokuwepo akiwa na
dada angu Esmah Khan....
Umati wa watu ukiwa umekusanyika nyumbani kwakina
Barnaba  kutoa heshima za mwisho..!
Familia wakitoa heshima za mwisho.....!!

Ni huzuni na sintoamini utawala kipindi hiki inapofika kuagana
 mara ya mwisho na mpendwa wako....
Barnaba akiagana na Mama ake kwa mara ya mwisho.....!!


Madee akiwa na  Lady Naa......!!

Joh Makini baada ya Kuaga Mwili.....!!
Baadhi ya wanakikundi wanaounda Tanzania House of Talent (T.H.T)


Mwili ukiwa umepakiwa tayari kabisa kuelekea makaburini
kwaajili ya maziko kumpumzisha
Mama....!!


Esmah Khan & Hawa walikuwepo
kuwafariji wafiwa...

Hapa mwili ukiwa umewasili makaburini tayari kabisa kwa maziko...!

Jeneza likishushwa kaburini na wanafamilia....!!


Barnaba akitupa mchanga wa mwisho kwenye kaburi la marehemu mama yake

Barnaba akionekana kuishiwa na nguvu kabisa mpaka kufikia
hatua ya kutokuweza kusimama,
ilibidi asaidiwe...!!
Mume wa Bi Mariamu Arubeth akiweka mchanga kaburini...!!
Jeneza likiwa ndani ya kaburi tayari kwa kuanza kufukia na mchanga.....!
Hyper Man HK alikuwepo pembeni na mwanamuziki Shilole...!!
Producer Lamar  wa Fishacrab Studio alikuwepo pia...!
Hali ile ya uchungu na kulia sana ilipelekea Barnaba kukosa
nguvu na kuzimia kwa dakika kadhaa...


Baada ya kuzinduka akisaidiwa kuingia kwenye gari kuwaishwa
Hospital kutokana na kupoteza nguvu kabisa...!!

Simple the Boyalionekana kuwa mbele kwenye
 ratiba ya makaburini
 kuakikisha mipango inaenda sawa...!!


Mume wa Marehemu akisimika msalaba kaburini
..!!
Msemaji wa familia akisoma historia fupi ya
 marehemu Mariamu Arubeth...!!







Msemai wa Familia akitoa maelekezo kwa waombolezaji mara
 baada ya kumaliza shuguli a maziko...!!
Umati wa waombolezaji wakitawanyika makaburini baada
ya shuguli ya mazishi kukamilika...!!
Nashukuru mama yangu mzazi na familia yangu kwa ujumra kwa kuniwakilisha vyema kwenye msiba wa mama mzazi wa mwanamziki mwenzangu,Barnaba,hapa ilikuwa ni baada ya mazishi wakielekea nyumbani

No comments:

Post a Comment