Pages

Friday, July 26, 2013

Baada ya kusakamwa kuwa huwa anajisingizia kwenda Ulaya, Odama aamua kutoa ushahidi wa picha, Zitazame hapa

Baada ya wadau mbalimbali kuanza kuhoji kuhusu uhalisia wa safari za mwigizaji Jennifer Kyaka (Odama) kwenda ulaya ambaye picha zake kadhaa zilizotolewa mtandaoni wiki chache zilizopita zikimtuhumu kuwa huwa haendi nje ya nchi bali anakuwepo nchini kwa lengo la kutafuta “kiki” na kutengezeza picha hizo kwa program maalumu ya kompyuta, hatimaye jana kupitia mtandao mmoja wa kijamii aliweka picha zake mpya zinazomuonesha nchini Qatar katika maduka mbalimbali na kwenye uwanja wa ndege wa nchi hiyo.

Picha hizi zimekuja kama ushahidi na majibu ya mwaswali yaliyokuwa yakiulizwa na wadau wengi kuhusu mwanadada huyu. Tazama picha hizi hapo


CREDIT: BONGO MOVIE

No comments:

Post a Comment