Pages

Friday, July 26, 2013

WACHEZAJI WA TAIFA STARS WAKIWASILI KWENYE HOTELI WALIYOFIKIA JIJINI KAMPALA SIKU YA JANA.

John Bocco akiwasili katika Hotel waliyofikia jijini Kampala
Wachezaji wa Timu Ya Taifa (Taifa Stars) inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakiwsili katika hoteli ya Mt. Zion ambapo wamefikia huku wakijiandaa na mechi ya Jumamosi dhidi ya Uganda Cranes kuwania kufuzu mashindano ya CHAN.

Stars leo  watafanya Mazoezi katika Uwanja wa Mandela uliopo Nambole ambapo mechi ya Jumamosi itapigwa.
Erasto Nyoni
Mrisho Ngassa

Nahodha Juma Kaseja

Kevin Yondani

Aggrey Morris

No comments:

Post a Comment