Pages

Tuesday, August 27, 2013

BAA YA SAMAKI SAMAKI MBEZI BEACH YATEKETEA KWA MOTO LEO HII.

Baa ya Samaki Samaki iliyopo Mbezi Beach jijini Dar ikiteketea kwa moto.
Habari zilizotufikia hivi leo ni kwamba baa ya Samaki Samaki iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam imeungua kwa moto.

No comments:

Post a Comment