Pages

Tuesday, August 27, 2013

TASWIRA ZA KANISA LA KKKT SEGEREA LILIPIGWA BOMU DAR.


Baadhi ya wachungaji wa kanisa jijini Dar es Salaam wakitoka kanisani baada ya sala ya asubuhi Agost 25.
 Baadhi ya waumini wakitoka kanisani baada ya sala ya asubuhi.
Picha ikionesha sehem ya kanisa iliyohariwa na bomu.

Baadhi ya watoto wakipitia biblia wakati wa misa ya asubuhi.
Picha ikionesha eneo la ndani mwa kanisa lililolipuliwa.

Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani Jimbo la Kati Usharika wa Segerea lilipuliwa kwa kitu kinachosadikiwa  kuwa ni bomu usiku wa kuamkia jumaosi Agost 24
na watu wsiojulikana, hata hivyo kamanda wa polisi kanda maalum ya DarEsalaam Suleiman Kova
 ameahidi kufanya uchunguzi wa kina kuhusiana na tukio hilo.

(PICHA NA MAKONGORO OGING, GPL)

No comments:

Post a Comment