Pages

Friday, August 2, 2013

BREAKING NUUUUUZ: LORI LA MAFUTA LADONDOKA MTEREMKO WA MBALIZI MBEYA MUDA HUU.

Picha ya Mlima Mbalizi
Live!
Kwa Taarifa Tulizo pokea sasa kutoka mlima wa Mbalizi zinasema kwamba kuna Lori la mafuta limedondoka muda huu na kusababisa watu waanze kuyachota mafuta hayo bila kujali kama Linaweza kulipuka.

Timu ya Mbeya yetu ipo eneo Hilo kwa sasa... taarifa zaidi Inakuja
CHANZO NI MBEYA YETU Blog

No comments:

Post a Comment