Pages

Monday, August 12, 2013

FEZA KESSY AONDOLEWA KATIKA SHINDANO LA BIG BROTHER AFRCA.

Mtanzania FEZA KESSY  aliyekuwa  akituwakilisha  katika  shindano  la  Big Brother Africa  ameondolewa  rasmi  usiku  wa kuamkia leo. Feza amekuwa mtu wa 20 kutolewa ndani ya jumba la BBA The case.

Na siku ya jana ameweza kudhibitisha kuwa kweli anampenda Onel baada ya kuchapwa swali na IK , Unampenda Onel? na kujibu Ndiyo bila ya kupepesa mdomo na kujiamini.

Kwa  sasa  Tanzania  hatuna  mwakilishi  tena  ndani  ya  jumba  hilo.

No comments:

Post a Comment