Pages

Sunday, August 18, 2013

FEZA: NAPENDA MWANAUME MWENYE UPEO, ALIYEPEVUKA.

Feza Kessy akifanya mahojiano katika kipindi cha Hatua Tatu cha 100.5 Times FM.
-Maisha ya mjengoni -Alivyojisikia baada ya Mtanzania mwenzake Nando kuondolewa
-Asema alijua kuwa atatolewa mjengoni
-Kuhusu mapenzi mjengoni
-Mwanaume gani anapenda kuwa naye
-Adai kabla ya kwenda BBA 'The Chase' hakuwa na mpenzi
-Aelezea umri wake kuwa ni miaka 25
-Aeleza faida za BBA kwa Tanzania
-Malengo yake baada ya kutolewa BBA

No comments:

Post a Comment