Pages

Sunday, August 18, 2013

KIVAZI CHA FEZA CHAZUA UTATA UZINDUZI WA YAHAYA

Feza akiwa katika pozi na Lady Jaydee wakati wa uzinduzi wa video ya Yahaya.
 
Feza akiwa stejini na kivazi chake kilichoacha sehemu ya maziwa wazi.
 
Feza akiwa na wenzake wakati wa uzinduzi huo.

 
Feza akiwa na Kiboya wakati kivazi chake kikiacha sehemu ya maziwa wazi.
Kivazi alichovaa mshiriki wa Tanzania aliyeondolewa katika jumba la Big Brother Africa Season 8 'The Chase' hivi karibuni, Feza Kessy, kilizua utata kwa baadhi ya mashabiki waliohudhuria katika uzinduzi wa video ya wimbo wa Yahaya. Tukio hilo lilijiri katika ukumbi wa Nyumbani Lounge Ijumaa ya Agosti 16 wakati msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Lady Jaydee 'Anaconda' alipokuwa akizindua video ya wimbo wake unaohit hapa mjini wa Yahaya. Kivazi cha mwanadada huyo kilikuwa kimeacha sehemu ya maziwa wazi hali iliyopelekea baadhi ya mashabiki kumtolea macho.

No comments:

Post a Comment