Pages

Sunday, August 25, 2013

Tazama picha:Utengenezaji wa filamu mpya wa wastara na Hemedy.

Filamu hii iliyoigizwa Mkoani  Mwanza, inahusu kisa cha usaliti wa ndani ya ndoa unaopelekea mpaka mke kuwa chizi kutokana na maumivu ya mapenzi anayoyapata toka kwa mumuwe na hatimaye  kusababisha kuingia kwenye kesi ya mauaji inayofanya filamu hii kuwa nzuri, ya kusisimua na ya aina yake.
 
Ndani ya filamu hii Wastara na Hemedy ndio wahusika wakuu, na wastara ndio mke wa hemedy- mume mkorofi.

Filamu hii imeongozwa na Bond Bin salim aliyeshinda tuzo ya mwongozaji bora wa filamu katika tuzo za ZIFF.Filamu hii inatarajiwa kuanza kupatikana sokoni kuanzia mwezi wa kumi na moja Tanzania kote. Usikose nakala yako.

No comments:

Post a Comment