Pages

Saturday, September 14, 2013

MDADA WA KENYA ANAYEDAIWA KUWA MPENZI WA DIAMOND AJICHORA TATTOO YA DIAMOND.

Angel
Angel Maggie ambaye ni demu wa Kenya anayedaiwa kuwa mpenzi wa mwanamuziki superstar wa Tanzania Diamond Platinumz amejichora tattoo ya madini ya almasi(Diamond) kuashiria ni kwa jinsi gani anavyompenda mwanamuziki huyo kwa mujibu wa mitandao ya kenya. Pia inadaiwa hivi karibuni wawili
hao walikuwa bega kwa bega Nairobi na Mombasa wakati Diamond alipokuwa na show nchini humo na kwa mujibu wa mitandao ya huko iliripotiwa Angel kupata nafasi ya kulala na Diamond. Angalia tattoo hiyo hapo chini...
tattoo aliyojichora na hapo chini akiwa na Diamond
                                 akiwa na Diamond

No comments:

Post a Comment