Pages

Saturday, September 14, 2013

Padri wa kanisa KATOLIKI amwagiwa tindikali huko Zanzibar..Siku ya jana.

Padre Ancelmo Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar amemwagiwa tindikali katika mgahawa wa Sun Shine uliopo Mlandege, Zanziabar  na  kusababishiwa  maumivu  makali sana.

No comments:

Post a Comment