Pages

Sunday, September 15, 2013

TIB YAZINDUA OFISI NA TAWI KANDA YA JUU KUSINI JIJINI MBEYA

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro (kulia) akikata utepe kuzindua ofisi za Makao Makuu ya Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB) ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Tawi la benki hiyo Mkoa wa Mbeya iliyofanyika jijini Mbeya jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa TIB, Peter Noni na Mwenyekiti wa Bodi ya TIB, Prof. William Lyakurwa.

No comments:

Post a Comment