Pages

Sunday, September 8, 2013

YALIYOJIRI TAMASHA LA TUPO WANGAPI?


   Bendi ya FM Academia ikikamua. Kulia ni prezidaa wa bendi hiyo, Nyoshi El-Saadat. 
  Mtaalam akitoa maelekezo ya jinsi ya kutumia mipira ya kiume.
    Wananchi wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa tamasha hilo.

   Vipeperushi pia viligawiwa bure ili kufikisha ujumbe.
Tamasha lililobeba ujumbe wa: ‘Tupo Wangapi?’ lilirindima jana katika Viwanja vya Leaders Jijini Dar, ambapo burudani sambamba na elimu kuhusu maambukizi na njia za kujikinga na gonjwa hatari la Ukimwi zilitolewa.
(Picha: Chande Abdallah na Denis Mtima / GPL)

No comments:

Post a Comment