Pages

Tuesday, October 22, 2013

JULIAS NYAISANGA KUAGWA LEO VIWANJA VYA LEADERS

Mwili wa Mwanahabari Julias Nyaisanga kuagwa leo katika viwanja vya Leaders Club Dar es salaam na baadae kupelekwa Tarime kwa mazishi.
Habari zaidi usikae mbali na Irene Mwamfupe Jamii Blog.

No comments:

Post a Comment