Pages

Monday, October 21, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MABUNGE YA SADC MJINI ARUSHA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya Nchi wanachama wa Jumuiya ya SADC katika ukumbi wa AICC jijini Arusha siku ya jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir kificho kabla ya kufungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya Nchi wanachama wa Jumuiya ya SADC  katika ukumbi wa A I C C jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbles Lema nje ya ukumbi wa mikutano wa A I C C Arusha, Baada ya kufungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya Nchi wanachama wa Jumuiya ya SADC katika ukumbi wa A I C C mjini Arusha . Kushoto Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir kificho kabla ya kufungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya Nchi wanachama wa Jumuiya ya SADC , katika ukumbi wa A I C C mjini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia vikundi vya sanaa vya ngoma za aina mbalimbali alipowasili katika Jengo la Ukumbi wa mikutano A I C C mjini Arusha kwa ajili ya kufungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya Nchi wanachama wa Jumuiya ya SADC .

No comments:

Post a Comment