Pages

Monday, October 21, 2013

PAMBAO LA SIMBA NA YANGA SC KATIKA PICHA UWANJA WA TAIFA.


La kusawazsha; Kipa wa Yanga SC, Ally Mustafa 'Barthez' akiruka bila mafanikio kuokoa mpira uliopigwa na Gilbert Kaze kuipatia Simba SC bao la kusawazisha katika sare ya 3-3 jioni ya jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mzunguko wa kwanza.

Kiungo Jonas Mkude akiwapa ishara ya  'amkeni' mashabiki wa Simba SC baada ya sare ya 3-3 na Yanga wakitoka nyuma kwa 3-0 

Kiungo wa Yanga SC, Frank Domayo akitoa pasi mbele ya kiungo wa Simba SC, Abdulhalim Humud



Didier Kavumbangu akiwatoka mabeki wa Simba SC


Kavumbangu akituliza mpira kifuani katikari ya mabeki wa Simba


Mabeki wa Yanga SC, Nadir Haroub 'Cannavaro' na Kevin Yondan kulia wakimdhibiti mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe


Haroun Chanongo wa Simba akigombea mpira na Haruna Niyonzima wa Yanga


Kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' kulia dhidi ya Humud wa Simba  


Kipa wa Simba SC, Abbel Dhaira akiwa amedaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga SC, Kavumbangu ambaye tayari alimpita beki Joseph Owino


Mrisho Ngassa akibinuka tik tak


Beki Nassor Masoud 'Chollo' akiuptia mpira miguuni mwa Mrisho Ngassa


Betram Mombeki akiruka kupiga kichwa ya Frank Domayo wa Yanga


Joseph Owino wa Simba SC akiupitia mpira miguuni mwa Kavumbangu


Nassor Masoud 'Chollo' wa Simba akimiliki mpira mbele ya Ngassa 


Ngassa akimtoka Ramadhani Singano 'Messi' wa Simba


Ngassa na Messi wa Simba


Ngassa akishangilia na David Luhende kulia na Haruna Niyonzima baada ya kufunga bao la kwanza


Humud akimtoka Kaumbangu


Amisi Tambwe wa Simba SC akipambana na Mbuyu Twite wa Yanga SC


11 walioanza Simba SC


11 walioanza Yanga SC CREDIT BIN ZUBEIRY BLOG

No comments:

Post a Comment