Pages

Thursday, October 10, 2013

PLATNUMZ AJIBU BAADA YA PICHA MPYA NA WEMA..ETI NI MOVIE YA TEMPTATIONS WAPO LOCATION.


Baada ya habari kuenea kuwa Diamond PLatnumz amerudiana na Wema walipokuwa Malaysia katika moja ya show zake na Platnumz kukanusha habari hiyo kupitia website yake, hatimaye imepata picha nyingi za Diamond na C.E.O wa Endless Fame Wema Sepetu wakiwa kwenye pozi tofauti tofauti za kimahaba nchini humo.

BREAKING NEWS…!!! DIAMOND NA WEMA PAMOJA
           
Kupitia account yake ya instagram diamondplatnumz amepost moja ya picha zilizopo katika movie mpya aliyoshirikiana na mwanadada wema sepetu kuonyesha msisitizo ktk hilo diamond amesema haya:
 
diamondplatnumz
: Katika moja ya Muvie ambazo naimani itakuwa ni Gumzo, Mfano na Bora toka Tanzania basi ni hii... #TEMPTATIONS .... STAY TUNED!!!! SOON!....#DayOne #Location #SomeWhere   

No comments:

Post a Comment