Katika hali ambayo haikutegemewa hasa kwa mashabiki wa Yanga ambao waliongoza kwa bao tatu kipindi cha kwanza, Simba waliingia kipindi cha pili kwa kasi ya ajabu na kusawazisha mabao yote matatu! Ndani ya dk 20 ya kipindi cha pili waliweza kurudisha mabao mawili na baadaye kuongeza bao moja na kupelekea kufunga mabao matatu!
Mpk dk 90 zinakamilika Yanga 3 na Simba 3. Habari zaidi zitawajia baaadae usikae mbali!!
No comments:
Post a Comment