Pages

Sunday, November 24, 2013

LADY JAYDEE AKIFANYA YAKE STEJINI USIKU WA KUAMKIA LEO


Mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Anaconda' akiwapagawisha mashabiki wake waliohudhuria katika Viwanja vya Leaders  katika shoo wa wakali P-Square.
Watu... Jideeeeeeeeeeee...
Machozi Band nao walikuwepo kumback up Jide.
(PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA / GPL)

No comments:

Post a Comment