Pages

Sunday, November 24, 2013

P-SQUARE LIVE IN DAR


Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square wakilivamia jukwaa la Leaders.
Mashabiki wakipagawa na shoo ya P-Square.
Joh Makini akilitawala jukwaa.
Nikki wa Pili (kushoto) na G Nako wakifanya yao stejini.
Kundi la Weusi likiongozwa na Joh Makini likishambulia jukwaa la Leaders Club.

(PICHA NA MUSA MATEJA /GPL)

No comments:

Post a Comment