Pages

Friday, December 20, 2013

WAZIRI KAGASHEKI AJIUZULU


Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki, amejiuzulu bungeni  baada ya kutakiwa na wabunge awajibike kwa vitendo viovu vilivyofanywa na wanausalama wakati wa Operesheni Tokomeza!

No comments:

Post a Comment