Abdi Mohamed miaka 8 mkazi wa Mingoi Boko amepotezana na babaake baada ya daraka kuvunjika Boko.
Abdi anasema aliamka alfajiri na mapema kwenda sokon Bunju baada ya kununua mahitaji babaake alimwambia atangulie kurudi nyumbani. Kufika darajani akakuta daraja limevunjika na hakuna njia nyingine ya kurudi nyumbani.
Mpaka sasa Abdi ameifadhiwa na wasamalia wema na wako mbioni kwenda kituo cha polisi Boko.
No comments:
Post a Comment