Pages

Saturday, November 29, 2014

Rais Kikwete arejea nchini na kuzungumza na Wanahabari uwanja wa ndege jioni hii jijini Dar

Rais Kikwete akizungumza na Wanahabari kwenye ukumbi maalum wa mikutano,Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jiini Dar,mara tu baada ya kuwasili jiioni hii akitokea nchini Marekani kwa matibabu.

No comments:

Post a Comment