Pages

Sunday, November 30, 2014

Wakazi - Wanawake Wa Dar (WWD) (Official Video HD)

Wanawake wa Dar
Nyota wa muziki wa rap nchini, Wakazi ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Wanawake wa Dar’ ikiwa ni siku 5 sasa tangu afanye uzinduzi wake pale O.M.G Bar & Restaurant. Itazame hapa…

No comments:

Post a Comment