Msanii wa filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amefunguka kuwa
anaogopa kumtambulisha bwana wake wa sasa kwa kile alichodai kuwa
anaogopa kuibiwa.
Akizu ngumza na paparazi wetu juzikati, Amanda alisema ameishi kwa
muda mrefu na mpenzi wake bila kuhitilafiana kwa sababu wengi hawamjui,
lakini anahofia akimuanika wasichana wataanza kumfuatafuata na kumwiba.
“Kumtambulisha bwana wangu wa sasa sitaki, naogopa wadada wa mjini
hawakawii kumzengea zengea na kuniibia hivihivi naona. Kwa mfano sasa
hivi watu hawamjui basi wametuliaaa! Lakini ukimweka hadharani tu, hao,”
alisema Amanda.
No comments:
Post a Comment