Pages

Friday, January 16, 2015

Picha,Zari anavyokodolea macho simu ya Diamond kama Beyonce kwa Jay Z


Entertainment

Picha,Zari anavyokodolea macho simu ya Diamond kama Beyonce kwa Jay Z.

By  |  1 Comments
zari
Wapenzi Diamond na Zari wamekuwa wakifananishwa na couple tofauti za mastaa duniani kwa picha na  pozi tofauti. Kupitia instagram yake Zari amejifananisha na Beyonce kwa jinsi anavyofuatilia shughuli za Diamond kwenye simu yake muda wote wanapokuwa pamoja.
zari 1 zari 2
 

No comments:

Post a Comment