Hamida Hassan/ijumaawikienda
KUMBE!
Aliyekuwa shemeji wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wakati ikisemekana
anatoka na mtoto wa mbunge, Najma, Mtangazaji Lady Naa ameanika siri
juu ya ukaribu wake na mpenzi wa sasa wa Diamond, Zarinah Hassan ‘Zari’
kuwa usitafsiriwe kuwa ni usaliti kwani ndiye anayeshikilia usukani kwa
sasa.
Lady Naa ameliambia Ijumaa Wikienda kuwa anampenda Zari na haoni
sababu ya kumchukia wakati amekuta uhusiano wa mdogo wake (Najma) na
Diamond umeshavunjika.
“Namkubali Zari kwa sababu nyingi tu, kwanza amemkuta Diamond hana
mwanamke kwani hata kwa Najma alikuwa ameshapita, pia ni mwanamke mwenye
akili,” alisema Lady Naa.
No comments:
Post a Comment