Kupitia kipindi cha Ng’ari Ng’ari cha Clouds Tv msanii wa bongo fleva
Diamond Platnumz kwa mara ya kwanza amezungumzia kauli ya Wema Sepetu
ya kushindwa kupata mtoto.
Diamond >Ujumbe wa Wema umeniumiza
kama ulivyoumiza wengine, Diamond alisema anajua Wema ameshambuliwa na
wengi juu ya swala hilo na amemsifu kwa kusema ukweli.
No comments:
Post a Comment