Pages

Wednesday, April 22, 2015

Pete anayovaa Nicki Minaj ni kama ya hawa mastaa wa kike duniani

minaj 2
Rapa Nicki Minaj amekuwa miongoni mwa mastaa wa kike waliovalishwa pete zenye thamani kubwa zaidi duniani. Hivi karibuni Minaj ameonyesha pete ya Carat 15 ikiwa na Almasi iliyokatwa vizuri. Wanasema thamani yake ni dola 500,000 na wasanii waliowahi kuvalishwa pete hii ni pamoja na Beyonce [Carats 18] ,Mariah Carey [Carats 17] , Ciara [ carats 15] na Kim Kardashian [Carats 15].
minaj

No comments:

Post a Comment