Rapa Nicki Minaj amekuwa miongoni mwa mastaa wa kike waliovalishwa
pete zenye thamani kubwa zaidi duniani. Hivi karibuni Minaj ameonyesha
pete ya Carat 15 ikiwa na Almasi iliyokatwa vizuri. Wanasema thamani
yake ni dola 500,000 na wasanii waliowahi kuvalishwa pete hii ni pamoja
na
Beyonce [Carats 18] ,
Mariah Carey [Carats 17] ,
Ciara [ carats 15] na
Kim Kardashian [Carats 15].
No comments:
Post a Comment