Pages

Tuesday, November 27, 2012

WATAKAOBEBA JENEZA LA JOHN MAGANGA HAWA HAPA.

MWIGIZAJI John Maganga anayetarajiwa kuzikwa leo mchana, mwili wake utabebwa na wasanii wenzake sita wote wakiwa kwenye vazi la suti nyeusi.
Wasanii waliotajwa kuwa watabeba sanduku lenye mwili wa Maganga ni pamoja na Richie Richie, Ray, Dr Cheni, Cloud, Capturado na Mike Sangu.
Maganga atazikwa kwenye mababuri ya Kindononi.
Via saluti5 www.saluti5.com

No comments:

Post a Comment