Mmoja wa mashabiki wa Diamond akimtunza wakati akitumbuiza.
Dully Sykes akitumbuiza ukumbini hapo.
Beny Pol akiimba huku akitunzwa na shabiki yake.
Baadhi ya mashabiki wakisukumana.
Chid Benz akiomba ‘mic’ ili atulize mzuka wa mashabiki.
SHOO ya kufungua mwaka 2013 ya msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul
‘Diamond’, usiku wa kuamkia leo ilifanya mashabiki kupagawa na
kusababisha shoo kusimamishwa kwa muda ili kutuliza mzuka wa mashabiki.
Mbali ya Platinumz, wasanii wengine waliompa tafu na kufunika vilivyo
ndani ya Maisha Club ni pamoja na Dully Sykes na Beny Pol.
Habari/Picha: Musa Mateja/GPL
No comments:
Post a Comment