Pages

Tuesday, May 14, 2013

TANGAZO LA KAZI IDARA YA AFYA KTK HOSPITAL YA ST. JOHN’S LUGARAWA SOMA HAPA.

TANGAZO LA KAZI IDARA YA AFYA KTK HOSPITAL  YA ST. JOHN’S LUGARAWA INATANGAZA NAFASI ZIFUATAZO;-
1: KADA YA DAKTARI DARAJA LA PILI: NAFASI 3
2: KADA YA MUUGUZI DARAJA LA II NAFASI 5
3.KADA YA RADIOGRAFIA DARAJA LA 1 NAFASI 1
4. KADA AFISA MUUGUZI DARAJA LA PILI NAFASI 6
5. AFISA MUUGUZI MSAIDIZI DARAJA LA PILI- NAFASI 10
6. MTEKNOLOJIA MSAIDIZI (MAABARA) DARAJA LA PILI-NAFASI 1
7. MTEKNOLOJIA DARAJA LA PILI (MAABARA) - NAFASI 1
8. MTEKNOLOJIA DARAJA LA PILI (FAMASI)-NAFASI 1
10. MTUNZA TAKWIMU MSAIDIZI DARAJA LA PILI- NAFASI 1.

Vigezo na masharti:
. Maombi yaambatane na nakala za vyeti (cheti cha kidato cha nne, kidato cha sita na taaluma husika kutoka vyuo vinavyotambulika) na vyeti vya usajili vikiwa vimethibitishwa na hakimu/mwanasheria anayetambulika na serikali
. Tafadhali tumia sanduku la posta, namba ya simu au barua pepe ya hapo chini.
. Wafanyakazi wote watakao ajiriwa wataingizwa moja kwa moja kwenye mfumo wa serikali.
. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 25.05.2013.
Kwa mawasiliano zaidi tumia namba:-
ROMAN CATHORIC DIOCES OF NJOMBE ST. JOHN’S HOSPITAL LUGARAWA
S. L. B. 54, LUDEWA,

NJOMBE
TANZANIA

E-mail: stjhospital.lugarawa@gmail.com
Phone: 0765 880 504  Fax: +255 26 2782402
076 2267 644, 0769 114 822, 0752 411 646, 0763 707 548, 0764036675

No comments:

Post a Comment